Wednesday, December 19, 2007

TIBA YA JADI/ MBADALA NA TIBA YA KISASA

Dr. Bwire Chirangi (kijana wa Mutaragara) na Mganga Mzoefu wa Tiba Asilia na Mwenyekiti wa CHAWATIATA Mkoa wa Mara, Mzee Nyakirangáni Nyakiriga wa Serengeti baada ya semina shirikishi.

Je daktari wa Tiba ya Jadi au Tiba Mbadala na wa Tiba ya kisasa wanaweza kufanya kazi ya kutoa huduma ya afya kwa Mwanadamu kwa kushirikiana? Kama inawezekana kwa nini hizo sekta mbili bado zina utengano mkubwa nchini Tanzania. Unafikiri Kifanyike nini ili ushirikiano huo uwepo kama inafaa.

3 comments:

Anonymous said...

Serikali iwaone waganga wa tiba asilia kama wataalamu na iwape mafunzo zaidi na fedha za kutosha.

jonathan

Anonymous said...

Yes!huyo nadhani Dr. Bwire wa shirati namfahamu. Ni mfano wa kuigwa maana jamaa anajituma sana na anafuatilia sana wagonjwa kuhakikisha kuwa wanapata huduma nzuri na kwa wakati muafaka!
Bigup mzee naona sasa unafundisha na waganga wa jadi maadili ya job.

Adamu

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

karibu 99% ya dawa zote ulimwenguni zinatokana na miti shamba

cheers