Thursday, May 1, 2008

"Friendship is a Single Soul Dwelling in Two Bodies"


Katika uzinduzi rasmi wa Kanda ya Afika ya ICSU.(http://www.icsu-africa.org/) September 2005,
Prof. Dr. Sospeter Muhongo wa Nyawayega
Mwanasayansi Mahiri na Mkurugenzi Mfawidhi wa ICSU-Kanda ya Afrika anadodosa Malengo ya Asasi hii ya Kimataifa, Hali ya Bara letu la Afrika na changamoto zinazotukabili.
(Ukipenda kupata muhtasari wa wasifu wa Mtanzania huyu kiongozi, bofya hapa: http://www.icsu-africa.org/icsuafricabios.htm#muhongo)
SEHEMU YA HOTUBA YAKE:


The Harsh Reality


About 40% of Sub-Saharan Africa (ca 250 million people) lives in absolute poverty








Akihitimisha hotuba hiyo ya ufunguzi, kiongozi huyu alimnukuu gwiji wa Falsafa na Mwanasayansi Aristotle (384KK -322KK) akisema,
"...friendship is a single soul dwelling in two bodies"

Hivyo basi sote kama Waafrika, ingawa tuna miili na nasaba anuwai ni vema tuwe marafiki kwa kunia mamoja kwa roho moja (with a single soul) ya kufanya Tafiti na kutumia Sayansi endelevu kwa ajili ya kuboresha Afya na Maisha yetu kwa ujumla!


































2 comments:

Anonymous said...

Hiyo sentence ya Aristotle ni ya kweli kabisa. Aisee Prof. Muhongo si haba ki taaluma na kiutumishi.
unampa heko kwa kazi yake na ICSU

Anonymous said...

Hongera sana Prof. kwa kazi nzuri maana umekuwa mfanokw Wasomi watanzania na duniani kwa ujumla.
Tuzo uliyotunikiwa hivi karibuni toka Costech / Wizara ya Elimu na tuzo nyingine nyingi toka katika jamii mbalimbali za wanazuoni na taasisi ni uthibitisho wa kazi yako kwa ajili ya maendeleo ya wanadamu.

Elisha