Poster design by: wa- Chirangi
WATANZANIA
Tunapokumbuka
na Kushereheka
katika Siku-kuu ya
Uhuru na Jamhuri - 2010,
Nawatakieni kila la kheri na fanaka.
Aidha nawahasa pia, tutumie muda huo kutafakari
ni jinsi gani sote mmoja mmoja au katika Kikundi / Chama / Idara/ Asasi / Wizara tunaweka Mikakati ya kuimarisha Uwajibikaji na Uzalendo katika kutoa michango yoyote chanya kwa namna yeyote inayokubalika kwa ajili ya kujiletea
Maendeleo ya kweli ya Mtanzania
na Tanzania kwa ujumla.
Uhuru – kazi yetu !
Uhuru – kazi yangu!
Wenu,
Musuto wa- Chirangi
No comments:
Post a Comment