Ndg. Biseko - Master (kwenye nyota) akisikiliza kwa umakini taarifa ya Wagonjwa na Tiba katika kikao cha Asubuhi cha Watumishi wa Afya- Nyerere DDH kabla ya kuuliza maswali ambayo mara nyingi yaliibua ama changamoto, udadisi na au utafutaji wa
utoaji Huduma bora zaidi za Afya kwa wagonjwa!
No comments:
Post a Comment