Saturday, February 25, 2012

WAJINA WA BIBI NYAMURUGWA - PILI BINTI HUSSEIN AHITIMU SHULE


TUNAMPONGEZA BINTI WETU  (MTOTO WA DADA GRACE) AITWAYE PILI KWA KUHITIMU  MASOMO YAKE YA SEKONDARI HUKO KENYA KATIKA SHULE YA KUJA SPECIAL SECONDARY SCHOOL FOR DEAF.

MOLA AMJALIE YALIYO MEMA KATIKA KUSOMA ZAIDI  KWA AJILI YA MAENDELEO YAKE , YA MAMA YAKE, YA FAMILIA NA TAIFA KWA UJUMLA .

AIDHA TUNAWAPONGEZA WAALIMU WAKE WOTE HUKO DAR ESLAAM NA PIA RONGO, KENYA.Blogger Templates

No comments: