Sunday, March 30, 2008

wa- CHIRANGI AWAONDOLEA UVIVU WENYE VIBURI HASI

'KIBURI HASI NI KIKWAZO KIKUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU NA MAENDELEO YAKE POPOTE'.

HII NI SEHEMU YA KWAZA YA HOTUBA YA MUSUTO wa- CHIRANGI AKIWAASI

WANA-SERENGETI JUU YA MADHARA YA KIBURI HASI.'

2 comments:

Anonymous said...

Mzee kumbe nawe si haba katika majukwaa,unasubiri nini? tunakuhitaji sana ili ujumuike na wale wote wanaoona jinsi kiburi kinavyotuathiri.
Nasubiri kusikia sehemu ya pili ya hii hotuba yako.

John (your class mate) wa enzi hizo.

Anonymous said...

Aisee Ebu tupe hiyo speech kwa ukamilifu wake maana naona haikuwa mchezo!
You have got the command of the Languange + public speaking skills!