KWA HESHIMA YA MZEE MUTARAGARA CHIRANGI ( Nyarutangwe - Omwana wa Nyamurugwa wa Kafwenyi).
ALISUKUMWA NA DHANA YA KUTENDA HAKI NA KUISHI KWA 'STD' INAYORIDHISHA.
ALIONGEA JUU YA HAKI, AKATENDA HAKI KI-STD, AKAITWA MZEE WA STD-MTETEZI WA HAKI.
NJOO TUSHAURIANE JUU YA KUBORESHA
MAISHA YETU ILI TUISHI KATIKA HAKI NA KWA STD INAYORIDHISHA
Sunday, March 30, 2008
wa- CHIRANGI AWAONDOLEA UVIVU WENYE VIBURI HASI
'KIBURI HASI NI KIKWAZO KIKUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU NA MAENDELEO YAKE POPOTE'.
HII NI SEHEMU YA KWAZA YA HOTUBA YA MUSUTO wa- CHIRANGI AKIWAASI
WANA-SERENGETI JUU YA MADHARA YA KIBURI HASI.'
2 comments:
Anonymous
said...
Mzee kumbe nawe si haba katika majukwaa,unasubiri nini? tunakuhitaji sana ili ujumuike na wale wote wanaoona jinsi kiburi kinavyotuathiri. Nasubiri kusikia sehemu ya pili ya hii hotuba yako.
2 comments:
Mzee kumbe nawe si haba katika majukwaa,unasubiri nini? tunakuhitaji sana ili ujumuike na wale wote wanaoona jinsi kiburi kinavyotuathiri.
Nasubiri kusikia sehemu ya pili ya hii hotuba yako.
John (your class mate) wa enzi hizo.
Aisee Ebu tupe hiyo speech kwa ukamilifu wake maana naona haikuwa mchezo!
You have got the command of the Languange + public speaking skills!
Post a Comment