Monday, November 16, 2009

JUMUIYA YA WATANZANIA UHOLANZI


Picha ya pamoja ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Uholanzi (TANE)


Kushoto kwa Balozi wa Tanzania - BENELUX (mwenye suti nyeusi),Mh. Mlay ni ndg. Musuto wa Chirangi aliyechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo mpya ilianzishwa juzi (14/11/2009). Jumuiya itaongozwa kwa kipindi cha 2009/10 na Mwenyekiti wake ndg. Bulemo Kweba (nyuma ya Bendera).
Viongozi wote waliochaguliwa ni :-
1. Bulemo Kweba (Chairperson)
2.
Musuto Chirangi  (Vice Chairperson)
3. Miza Mwinyimbegu (Secretary)
4. Agape Nchimbi   (Assistant Secretary)
5. Vivian Kitainda  (Treasurer)
6.
Mackfallen Anasel (Committee Member)
7.
Fanuel Karugendo (Committee Member)
8.
Mariana Josephati (Committee Member)
9.
Damian George (Committee Member)
10.
Naphtal Olemtumia (Committee Member)Jumuiya inawaunganisha wanachama wake ambao ni Watanzania, Wenza wa Watanzania na Watoto au Wajukuu wa Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi.


Balozi na watumishi wenzake wa ubalozi ndio walisimamia uchaguzi na kuwasimika rasmi viongozi hao.

2 comments:

EA said...

Mola awalinde na kuwajalia afya na ubunifu kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.

Uongozi wenye ufanisi.

Anonymous said...

We need such association abroad not those that are politically motivated.
All the best