KWA HESHIMA YA MZEE MUTARAGARA CHIRANGI ( Nyarutangwe - Omwana wa Nyamurugwa wa Kafwenyi). ALISUKUMWA NA DHANA YA KUTENDA HAKI NA KUISHI KWA 'STD' INAYORIDHISHA. ALIONGEA JUU YA HAKI, AKATENDA HAKI KI-STD, AKAITWA MZEE WA STD-MTETEZI WA HAKI. NJOO TUSHAURIANE JUU YA KUBORESHA MAISHA YETU ILI TUISHI KATIKA HAKI NA KWA STD INAYORIDHISHA
Wednesday, November 10, 2010
Kaka Umefanya Kweli!
Kaka, Godfrey Chirangi Mutaragara Chirangi wa- Muhongo wa- Nyawayega wa Rihu,
Tunakupongeza sana katika kuhitimu kwa kufaulu vyema Masomo ya Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Mount Meru katika fani yako ya Ualimu na Lugha ya Kiingereza.
Mwenyezi Mungu azidi kukujalia wewe, mkeo Jane na wanao wote katika maisha. Aidha tunakuombea ili yumkini uendelee kutoa huduma bora kwa Wananchi wa Tanzania kwa ufanisi zaidi.
"Do not ask if a man has been through college; ask if a college has been through him; if he is a walking university" - Edwin Hubbell Chapin.
Ni sisi,
Judy, Marja & Musuto Chirangi
************************************************
************************************************
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment