KWA HESHIMA YA MZEE MUTARAGARA CHIRANGI ( Nyarutangwe - Omwana wa Nyamurugwa wa Kafwenyi).
ALISUKUMWA NA DHANA YA KUTENDA HAKI NA KUISHI KWA 'STD' INAYORIDHISHA.
ALIONGEA JUU YA HAKI, AKATENDA HAKI KI-STD, AKAITWA MZEE WA STD-MTETEZI WA HAKI.
NJOO TUSHAURIANE JUU YA KUBORESHA
MAISHA YETU ILI TUISHI KATIKA HAKI NA KWA STD INAYORIDHISHA
Kuteuliwa
kwako kuwa Waziri katika Wizara nyeti ya Nishati & Madini ni kiashiria cha
wewe kuwa Mwajibikaji, Mwaminifu na mwenye Elimu & Ujuzi husika.
Baba & Mama Hongereni sana.
Tunakutakia kazi njema kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu.
No comments:
Post a Comment