Kama ambavyo niliendelea kufanya toka tarehe 01/08/2015; naendelea kuwashukuru kupitia blogu yangu watu wote walioniunga mkono na hata ambao hawakuniunga mkono kwa namna moja au nyingine katika Kura za Maoni katika nafasi Ubunge Jimbo la Musoma Mjini.
Waweza sikiliza na kudadavua zaidi kwa kujikumbusha vionjo vya 'Omwaka gwo Obhwatasyo na Impokochole' hapa:
Maisha yanaendelea, hata baada ya Uchaguzi!
Tanzania Tubaki kuwa Kisiwa cha Amani!
wa- Chirangi, PhD
6 comments:
Doctor mimi nakuheshimu sana najua it is just a matter of who and how do others know you!
Hii video yako imenigusa sana ulipoongelea juu ya uajibikaji. You are the same always Doctor when it comes to important matters. Keep it up.
College mate at Daystar University.
Steven
CCM Oyee! tuna majembe kibao wewe ni hazina sana tunapaswa kukutumia.
Katibu Mwenezi.
Du! Huyu ndiye Mutaragara Chirangi mwenye vipaji vingi. Mimi namfahamu kama mchezaji mkongwe mpenda michezo sana kwa hali na mali.
Hi brother, our Vice President at ISS. You should real be in Politics as you are capable to fight for your constituency and development of your fellow Tanzanians.
Ndugu ako Anne from Uganda.
Yaani sielewi kama watu wanaweza kukuacha wakachagua waliyempa huko Musoma. Basi atakuwa ni mtu exceptional sana huyo kwa jinsi ninavyokufahamu toka tukiwa wote Makutupora. Wewe ni askari na mpiganaji kweli. Natamani kujua sifa zake huyo mtu.
Dr. Chirangi endelea kumtumaini Mungu na kutenda haki utaona matunda yake. Nilikuwepo wakati wa Kampeni hakika jukwaa unalimudu ukiachilia mbali wasifu wako.
Post a Comment