Wanachama wa CCM; Rafiki na ndugu zangu;
Asanteni sana kwa kunitia moyo na kunifanya kuwa Mgombea Uwenyekiti CCM Mkoani Mara.
"Mpira wangu waweza kuwa umegonga nguzo ya goli; lakini bado upo uwanjani ; bado upo mchezoni"
Ada ya mja hunena Muungwana ni kitendo. Kwa kila jambo na majira yake. Tutakiane Kheri katika mwaka mpya wa 1918.
1 comment:
Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka! Nimefurahishwa sana na katazo dhidi ya 'ugonjwa wa panzi'
Post a Comment