Tuesday, August 3, 2010

UGONJWA WA TAFSIRI NJE YA MAZINGIRA (Contextomy)


 Zao la Sanaa hiyo hapo juu ni vazi-potosha liloundwa nami mwenyewe kuonyesha jinsi ugonjwa nyemelezi wa Tafsiri nje ya mazingira yake (Contextomy) unavyoweza kuwa na athari katika kupotosha umma. 

Pata chanjo yake mapema kwa kutafakari jambo katika mazingira yake na katika ukamilifu wake!

3 comments:

mukuru said...

Mzee ama kweli nimekukubali katika kuona mbali na kutumia sanaa kuwasilisha ujumbe!

Anonymous said...

Musuto asante sana kwa ushauri huu. Wewe ni mwanafalsafa na pia mtaalamu wa sanaa. Endeleza taranta yako kusaidia umma.

Anonymous said...

sanaa uliyotumiwa kuwaslisha ujumbe ni ya hali ya kawaida lakini imebeba ujumbe mzito sana. Siku zote nimekufahamu kuwa wewe ni mbunifu na mchambuzi hakika endeleza kipaji hicho.