Monday, January 14, 2008

BETHSAIDA CENTRE FOR HEALTH AND DEVELOPMENT

UZIO WA 'THE HOUSE OF BETHSAIDA ' MAHALA AMBAPO PANATARAJIWA KUWA KITUO CHA AFYA KWA AJILI YA WANANCHI KATIKA MANISPAA YA MUSOMA SIKU ZA USONI.
HII NI HATUA MOJAWAPO YA KUMUENZI BABA MUTARAGARA CHIRANGI KWA KAZI YAKE YA HUDUMA KWA WANANCHI.
MAANDALIZI YATAKIWAYO YANAENDELEA KWA MUJIBU WA TARATIBU ZINAZOPASWA.
Imetolewa kwa hisani ya mpiga hizi picha P.Mamuya.

4 comments:

Anonymous said...

kila la kheri
mipango mizuri

John II

Anonymous said...

Mradi mzuri nadhani hata mngefikiri juu ya namna ya kumkumbuka mzee mutaragara katika juhudi zake kwenye Elimu na michezo!
Kweli alikuwa mfano.

Anonymous said...

Huyu Mzee tunamkumbuka kwa kuanzisha mabarabara mengi huko kwangwa

Anonymous said...

Well though project in the area. We hope this can be supported by the government too to be able to help the people in Musoma